MADIWANI WAAPISHWA MALINYI
Katika kuashiria kufunguliwa rasmi kwa Baraza la Madiwani Wilayani Malinyi, leo tarehe 16.12.2020, katika Ukumbi wa Halmashauri uliopo Kijiji cha Misegese Wilayani Malinyi.
Katika zoezi hilo kumeshuhudiwa Madiwani Kumi na Nne(14) wakiapishwa, ambao kati ya hao, kumi ni wa kuchaguliwa na Wanne ni wa Viti maalum.
Baada ya kuapa rasmi sasa Madiwani wamejipanga kushirikiana na Menejimenti ili kuwaletea maendeleo Wakazi wa Malinyi, na kuahidi kwa kauli moja kutekeleza yale yote Waliyoyaahidi kwa Wananchi.
OFISI ZINAPATIKANA ENDEO LA MISEGESE
Postal Address: P.O.BOX 18 Malinyi
Telephone: 0784502410
Mobile: 0755388218
Barua pepe za watumishi: ded@malinyidc.go.tz
Hatimiliki©2017 MALINYIDC Haki zote zimehifadhiwa