Napataje leseni ya Biashara?
1.Pakua fomu ya maombi ya leseni ya Biashara
2.Jaza fomu hiyo kikamilifu na uhakikishe una TIN namba ambayo inapatikana ofisi za mapato TRA Mahenge au Ifakara
3. Baada ya kuwa na vyote hivyo fika ofisi ya Afisa Biashara kwa hatua zaidi.
OFISI ZINAPATIKANA ENDEO LA MISEGESE
Postal Address: P.O.BOX 18 Malinyi
Telephone: 0784502410
Mobile: 0755388218
Barua pepe za watumishi: ded@malinyidc.go.tz
Hatimiliki©2017 MALINYIDC Haki zote zimehifadhiwa