Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi inapenda kuwakumbusha kuwa Jumamosi ya mwisho ya Mwezi huu wa tatu ni siku ya Usafi hivyo watumishi wote mnakumbushwa kuhudhuria kwenye Maeneo yenu mliyopangiwa
OFISI ZINAPATIKANA ENDEO LA MISEGESE
Postal Address: P.O.BOX 18 Malinyi
Telephone: 0784502410
Mobile: 0755388218
Barua pepe za watumishi: ded@malinyidc.go.tz
Hatimiliki©2017 MALINYIDC Haki zote zimehifadhiwa